TUKIO LIJALO • UPCOMING
Kongamano la Ufalme wa Mungu
06 - 09 OCTOBER 2026 • Kanisa la Shekina, Kunduchi Mtongani
MAHUBIRI • VIDEO

Tazama mafundisho
ya Ufalme

Mahubiri na mikutano ya Kristokrasia kutoka kituo chetu cha YouTube. Bofya video ili uitazame hapa hapa.

Je! Unafahamu maajabu na siri za Neno la Mungu?

Christocracy Tanzania • Machi 2026

Jifunze kina cha Neno na nguvu yake katika maisha ya muumini.

Fungua ↗

Mahubiri mengine (12)

Mh. Deusi C. Sangu akizungumza kuhusu Kristokrasia

Waziri wa OWM, Kazi & Mahusiano • Aprili 2026

Katika uzinduzi wa Shekina Shop App.

Fungua ↗

Tumeumbwa kwa kusudi maalumu ili tutawale na kumiliki

Christocracy Tanzania • Machi 2026

Kusudi la Mungu tangu mwanzo: utawala na umiliki.

Fungua ↗

Tujifunze kumiliki na kutawala

Christocracy Tanzania • Februari 2026

Somo la vitendo kuhusu kuishi katika mamlaka ya Ufalme.

Fungua ↗

Kristokrasia si udini, bali ni sehemu ya kuujenga Ufalme

Christocracy Tanzania • Februari 2026

Ufafanuzi wa Kristokrasia ni nini — na si nini.

Fungua ↗

Viwango vya wawakilishi wa Mungu — Sehemu B

Pastor Daniel Mulesi • Septemba 2025

Sehemu ya pili ya somo la viwango vya mtumishi wa Mungu.

Fungua ↗

Viwango vya wawakilishi wa Mungu — Sehemu A

Pastor Daniel Mulesi • Septemba 2025

Viwango ambavyo Mungu anavitarajia kwa wale anaowatuma.

Fungua ↗

Jinsi ya kutawala katikati ya maadui zako — Siku ya 2

Pastor Daniel Mulesi • Agosti 2025

Mafundisho ya utawala wa muumini hata katikati ya upinzani.

Fungua ↗

Jinsi ya kutawala katikati ya maadui zako — Siku ya 3 (A)

Pastor Daniel Mulesi • Agosti 2025

Mwendelezo wa somo la kutawala katikati ya maadui.

Fungua ↗

Uvuvio mkubwa wa Roho katikati ya wingu la ibada

Pastor Daniel Mulesi • Agosti 2025

Kipindi cha ibada na uvuvio wa Roho Mtakatifu.

Fungua ↗

Mungu atakutumia pale tu utakapoisikia sauti yake kwanza

Pastor Martha Musokwa • Agosti 2025

Kusikia sauti ya Mungu kabla ya kutumika.

Fungua ↗

Wivu unawezaje kukwamisha huduma kwa Kristo

Bishop Powel Mfinanga • Agosti 2025

Onyo kuhusu wivu na athari zake katika huduma.

Fungua ↗

Kristokrasia Bagamoyo — mkutano kamili

Pastor Martha Musokwa • Agosti 2025

Kipindi kizima cha mkutano wa Kristokrasia, Bagamoyo.

Fungua ↗