Kristokrasia (Christocracy) maana yake ni Utawala wa Kristo — Kristo akitawala moyoni, nyumbani, kanisani na katika jamii.
Sisi ni chombo huru — si kanisa wala dhehebu. Tunafundisha Injili ya Ufalme, tunaandaa wachungaji na viongozi, na tunajenga kanisa la nyumbani lenye afya.
Tunaendelea kuweka masomo ya Ufalme hapa. Ungana nasi WhatsApp upate taarifa kila somo jipya linapowekwa.
Pata taarifa WhatsAppKristokrasia ni chombo huru — hakimilikiwi na kanisa wala dhehebu lolote. Tunashirikiana na makanisa, wachungaji na waumini wa kila jamii kwa ajili ya kujengwa kwa Ufalme wa Mungu. Karibu kujifunza, kufundisha na kutumika nasi.