Kristokrasia hushirikiana na uongozi wa CPCT katika kuandaa makongamano na mafunzo — ngazi ya Wilaya ya Kinondoni na Mkoa wa Dar es Salaam. Hapa chini ni orodha ya madhehebu 169 yaliyo wanachama wa CPCT.
Chanzo cha orodha: cpct.or.tz/madhehebu. Kama dhehebu limeongezwa au jina limebadilika, tujulishe tusasishe.